Kama zilivyo shughuli nyingine za kiuchumi Kilimo pia kinaendeshwa na wakazi wa Halmashauri ya wilaya ya kilwa na kusimamiwa na wadau mbalimbali pamoja na mamlaka husika. mazao yanayolimwa ni pamoja na Mtama,Mihogo, Mpunga, Mahindi, Ufuta, korosho nk.
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: +255 23 201 3241/65
Simu: 0713538141
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa